Utangazwaji wa ILMIS
Mradi wa ILMIS umetangazwa sana kwenye vyombo vya habari vya runinga na magazeti.
Magazeti ya ndani ya lugha ya Kiswahili Mwananchi, Nipashe na Habari Leo kwa kiasi kikubwa wameripoti habari
za mradi wa ILMIS, na magazeti ya lugha ya kiingereza.
Soma zaidi