image

Utafiti wa Awali

Utafiti wa awali kwa ajili ya mradi wa ILMIS umefanyika (27 Machi – 7 April 2017). Lengo la utafiti wa awali ni kujua mtazamo wa umma juu ya utoaji wa huduma za ardhi nchini Tanzania na kuelewa mtazamo wa wafanyakazi wizarani na Manispaa ya Wilaya ya Kinondoni kitengo cha ardhi juu ya dhana ILMIS. Uchambuzi wa taarifa zilizopatikana unaendelea na utasaidia kujua changamoto zilizopo katika utoaji wa huduma na kuboresha utekelezaji wa mradi wa ILMIS.

© 2016 Haki zote zimehifadhiwa | Onyo | RAMANI YA TOVUTI