image

Uwasilishaji juu ya uhalisia wa dhana ya ILMIS

Uhakiki juu ya uhalisia wa dhana ya ILMIS (Alpha Version) umekamilika. Muungano wa makampuni chini ya IGN FI pamoja na wafanyakazi wa Wizara ya Ardhi walifanya mikutano mbalimbali ikiwemo mkutano pamoja na viongozi wa juu wa wizara uliofanyika Mei 10, 2017 makao makuu ya wizara ili kutathmini hatua za awali za mfumo ambazo zilijikita kwenye hatua zinahitajika kufuatwa katika usajili wa hati.

© 2016 Haki zote zimehifadhiwa | Onyo | RAMANI YA TOVUTI