Ujio wa Waziri

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mh. William Vangimembe Lukuvi mnamo tarehe 27/11/217 alitembelea Kituo cha taifa cha Taarifa za Ardhi (NLIC) ili kukagua maendeleo ya utekelezaji wa mradi wa mfumo unganishi wa taariza ardhi (ILMIS). Waziri alipendezewa sana na maendeleo ya utekelezaji wa mradi na ameeleza ni kwa kiasi gani ameridhishwa na hatua iliofikiwa mpaka sasa.

© 2016 Haki zote zimehifadhiwa | Onyo | RAMANI YA TOVUTI