image

Uhuishaji Ramani

Baadhi ya ramani, hati za usajili na utawala zilizopo wizarani ni chakavu sana na zimepitwa na wakati.

Hizi nyaraka zinahitaji kuhuishwa kabla ya kuziingiza kwenye mfumo wa ILMIS. Alain Roger, mtaalam wa uhuishaji nyaraka na hati kutoka maktaba ya taifa ya Ufaransa alitembelea Wizara ya Machi 2017 ili kuchunguza ni vifaa gani vinahitajika katika uhuishaji wa nyaraka hizo na akatoa mafunzo ya wiki moja kwa wafanyakazi wa Wizara ya Ardhi kitengo cha uhuishaji ramani.

© 2016 Haki zote zimehifadhiwa | Onyo | RAMANI YA TOVUTI