image

Safari ya Mafunzo Uganda

Ujumbe wa watu 14 kutoka Wizara ya Ardhi, Nyumba, na Maendeleo ya Makazi ulitembelea Uganda Aprili 9 – 14, 2017 ili kujifunza utekelezaji wa muundo, usambazaji, usimikaji, na miundombinu ya mradi wa Mfumo wa Taifa wa Taarifa za Ardhi nchini Uganda (DeSINLISI) unavyofanya kazi, ambao kwa sasa unatekelezwa na kampuni ya IGN FI katika ngazi ya taifa kwa msaada wa Benki ya Dunia. Ujumbe huo ulijifunza masuala ya kiufundi ya usimamiaji ardhi nchini Uganda, ikiwa ni pamoja na ubadilishaji wa data zisizo elezea eneo maalum, ramani na taarifa, na utendaji kazi wa NLIS nchini Uganda kwa ujumla wake.

© 2016 Haki zote zimehifadhiwa | Onyo | RAMANI YA TOVUTI