image

Surveyors Seminar

IGN FI imefanya uwasilishaji juu ya uanzishaji, usambazaji, usimikaji na uendeshaji wa Mfumo Unganishi wa Taarifa za Ardhi (ILMIS) katika Taasisi ya Wapimaji Tanzania. Semina kwa Wapimaji Dodoma 29th – 30th mei, 2017.

© 2016 Haki zote zimehifadhiwa | Onyo | RAMANI YA TOVUTI