Kwa nini nahitaji hati miliki ya ardhi?

Upatikanaji wa hati miliki ya ardhi iliyo sahihi itasaidia:

1. Kumiliki ardhi salama na isiyokuwa na migogoro yeyote.

2. Kurahisisha ununuzi, uuzaji, ukodishaji, ugawaji ama kubadili umiliki wa ardhi endapo itahitajika.

3. Wananchi kupatiwa hati miliki za ardhi kama dhamana ya kuombea mikopo kwenye mabenki na taasisi nyingine za kifedha, pamoja na

4. Kupunguza ama kuepusha migogoro yote ya ardhi miongoni mwa watu binafsi, familia na jamii kwa ujumla.

© 2016 Haki zote zimehifadhiwa | Onyo | RAMANI YA TOVUTI